Header Ads

Perfect Combo’ ya Joh Makini inazidi kuchukua airtime Trace Tv


Video za muziki wa Bongo fleva zinazidi kuchukua airtime kwenye vituo vikubwa vya TV za kimataifa, Taarifa hii ikufikie mtu wangu kwamba Staa wa muziki kutoka Tanzania , Joh makini  amezichukua headlines kwenye kituo kikubwa cha burudani Trace Tv baada ya ngoma yake mpya ya ‘Perfect Combo‘ kupigwa kama Africa Fresh.
Nyimbo hii ni collabo ambayo Joh Makini ameifanya na mwanadada kutoka nchini Nigeria Chidinma
20160816_201611

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.