Header Ads

PICHA 6: Nilivyotembelea uwanja wa ndege Dar na kuzikuta ndege kwenye huu muonekano


Najua kuna baadhi ya watu wangu wamezoea kuuona usafiri wa ndege zikiwa katika muonekeno wa juu angani lakini wanatamani hata siku moja washuhudie zikiwa chini ardhini muonekano wake uko vipi, yes.. kazi yangu ni kuhakikisha nazikata kiu za kila mmoja.
Sasa leo camera ya millardayo.com imetembelea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam na kuzinasa picha 6 za ndege zikiwa ardhini kabla ya kupaa angani.
2X6A4156
2X6A4163
Moja ya ndege ndogo za abiria
2X6A4166
2X6A4162
2X6A4167
201685

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.