Header Ads

Loki/Funga Mafolder Yako

Ile software yetu yakufunga mafolder ktk computer zetu, niwape pole wale wote mliokuwa mnahisi kuwa mnayo hii software na kama mnayo basi muache kuzika ujuzi huko mliko, na mjue wazi tu kuwa hii software haizidi hata MB MOJA (SIZE YAKE NI LESS THAN 1MB)
  1. Utadownload kama kawaida, kupitia link nitakayotoa hapo chini
  2. Wakati wa kufungua kutumia itaomba password  “tuma sms au piga 0758297744 kupata password” .
Kabla sijaendelea na hatua nyingine naomba nikwambie kitu, hii software hauinstall ila utakavyo idoubleclick tu kuitumia itaingia moja kwa moja ktk folder unalotaka kulifunga baada ya kufuata hatua zifuatazo
Namna yakutumia;
Utadouble click ktk software yetu kisha utaona kimefunguka kidubwasha fulani juu kimeandikwa “folder protector” na kinakuwa na option zifuatazo
(a) Kushoto hapo Kuna option imeandikwa “protect default” (maana yake funga folder husika ambalo umeitunza hii sofware)
– Naomba unielewe vizuri hapa, ukichagua hii option maana yake hakikisha umekikopi hicho kijisoftware na umekipaste ndani ya folder unalotaka kulifunga na hapo sasa utaweza kutumia hiyo option ya “project default”
(b) Kulia hapo kuna option imeandikwa “protect another” (maana yake fuga folder lingine kwa kuchagu kwenye computer)
– Naomba na hapa neleweke vizuri, ukichagua tu hii option basi software itafungua mafaili yako automatic na kukusubiri uchague folder unalotaka kulifunga
Ushauri, option zote ni nzuri ila chakuelewa ni kwamba ktk kila folder ulifungalo hiyo software inaingia ndani ya hilo folder automatic, na sababu kubwa ya kuingia ndani ya folder ni kwaajili ya kukusaidia uitumie wakati unataka kulifunga hilo folder
Naendelea na hatua nyingine;
Baada ya kuelewa hatua ya tatu, sasa angalia vizuri ktk hiyo software utaona kuna sehemu imeandikwa “password” na sehemu nyingine imeandikwa “re-enter”
(a) Sehemu iliyoandikwa “Password” utajaza password uipendayo baada ya kuchagua ni folder lipi unalifunga
(b) Na sehemu iliyoandikwa “Re-enter” utajaza password hiyohiyo kwa maana ya kuhakikisha
Baada ya hapo bonyeza sehemu imeandikwa “Protect” na moja kwa moja utakuwa umefunga folder lako
Uzuri wa hii software;
  1. Ikifunga folder inabaki software yenyewe tu, hivyo unaweza kuirename vyovyote unavotaka kulingana na jina la folder ulimoiweka ili kukumbuka majina ya mafolder uliyofunga kwa urahisi, kwamfano umefunga folder linapicha zako basi ukiikopi software ukaipaste kwanza kwenye hilo folder lenye picha basi irename “Picha” au kwa kingereza “Pictures” ila alama yake ni “Kijifolder na kikufuli” au kama haukipendi unaweza bofya sehemu imeandikwa settings ukaweka vyako, ila angalia nilivyofanya kwenye picha hapo ninaweza kukumbuka kwa urahisi
  2. Haina usumbufu wowote na ni rahisi kutumia
Ukifunga folder utalifunguaje?
  1. Ni kazi rahisi sana, ukifunga folder kila kitu kinakusanywa na utaona imebaki hiyo software tu hivyo basi ukitaka kufungua utumie vitu vyako basi“doubleclick” kwenye software na itafunguka nakukuomba ujaze “password”uliyoset, na baada ya kujaza angalia kulia mwa software utaona sehemu imeandikwa “Complete” (maana yake fungua folder lote” basi usisite, ichague na kisha bonyeza sehemu imeandikwa “Unprotect”
  2. Baada ya kubonyeza “Unprotect” utaona kijimeseji kimeandikwa “The folder has been unprotected successfully” (yaani umefungua folder)
  3. Basi bonyeza “ok”
  4. Hicho kitakachotokea hapo baada ya kubonyeza “ok” achana nacho kwa kubonyeza neno “cancel” kwasababu wewe hauhitaji kununua aina nyingine ya hii software, tuliyonayo inatutosha na sio trial, ndiomaana tunabonyeza“cancel” na hapo hapo utaona “vitu vyako vimefunguka na kisoftware chetu kimo ndani ya hilo folder kwa ajili yakutumika wakati wa kufunga”
  5. Ukikitumia kwa mara ya kwanza tumia kwa option ya protect another ili kikajisave kwenye folder utakalochagua na baada ya hapo unaweza kukikopi huko nakukizalisha mara nyingi uwezavyo
  6. Ukiweza kutumia hii utafurahi maana folder ulilolifunga halifutwi daima na milele labda mtu ashushe windows.
Download kupitia link hii hapa chini
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD SOFTWARE HII

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.