Header Ads

Yanayojiri: Kutoka kwenye Birthday party ya Dj wa Diamond Platnumz


Live kutoka kwenye ukumbi wa Next door Dar es Salaam ambapo Dj wa Diamond Platnumz, Romy Jons amewakutanisha mashabiki na mastaa mbalimbali kwenye siku yake ya kuzaliwa.
Miongoni mwa mastaa waliofika muda huu ni Wema Sepetu, Raymond, Ay, Meneja Sallam, Rich Mavoko, Nahreel, Aika, Aunt Ezekiel, Queen Darling, Wolper, Mo Rocka, TID, na wengineo
Hizi ni baadhi ya picha kutoka hapa ambapo shughuli hiyo inapofanyika
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
3X6A3371
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.