VIDEO & PICHA 8: Huwa unasahau ulipoweka vitu vyako? kuna hiki kifaa kinasaidia kuvipata
Hivi ushawahi kwenda kufanya shopping ukasahau wapi ulipaki gari yako? au ukasahau ulipoweka pochi au wallet yako? basi kuna hiki kifaa hiki kinachoitwa ‘Track R‘ chenye uwezo wa kukuonesha wapi umeweka vifaa vyako iwe gari, wallet, pikipiki hata funguo zako n.k.
Kifaa hiki ni kidogo ambacho unaweza hata kupachika kwenye wallet halafu unadownlod App kwenye smartphone yako ambayo inaunganisha moja kwa moja na kifaa hicho na hapo unaweza kutafuta mali yako iliyopotea kiurahisi mtu wangu.
Nimekuwekea na video hapa chini unaweza kuitazama mtu wangu jinsi kinavyofanya kazi.
Post a Comment