Header Ads

VIDEO: Hii ndio Mbagala na Singeli yao…

Mkuu wa wilaya ya Handeni Tanga  Godwin Gondwe aliaandaa tamasha lililoitwa Dawati Concert kwa lengo la kuwakutanisha wakazi wa Dar es salaam, tamasha  lililofanyika August 13 2016 huku likisindikizwa na wakali kutoka Bongoflevani Fid Q, AYStereoBen PolBarnabaMsami pamoja na  Mfalme wa muziki wa Singeli Msaga Sumu.
Hapa nimekusogezea show ya staa wa miondoko ya Singeli Msaga Sumu


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.