Header Ads

Rudisha Data Zako Ulizopoteza

Habari yako Mpendwa mwanateknolojia, kama ambavyo watu wengi wamezoea kutumia software mbalimbali kurudisha data zao, lakini leo ninakuletea kitu kizuri kabisa na pengine kuna baadhi yetu huwa wanakitumia lakini hawakupata nafasi hii yakipekee kushare nasi;
Kabla sijaendelea ninaomba kutoa angalizo kwa mambo yafuatayo;
  1. Software hii inahitaji umakini na unapaswa kufuata kila hatua unayoelekezwa
  2. Software hii inatakiwa kuwa Activated/kuwekewa key zake kwanza ndio inakubali kufanya kazi
  3. Software hii inauwezo mkubwa kurudisha data kwa namna 3, zilizo futwa, zilizo formatiwa, na zilizoondolewa kwa mfumo wa kucutt
  4. Mfano flash ina GB 4, na ilitumika na watu watano, mtu wa sita akiipata akaiformat na akaamua kurudisha data za wale watu watano basi anaweza kikubwa tu awe na space zaidi ya 4GB za hiyo flash/maelezo zaid utayapata chini.
Baada ya maangalizo hayo naomba sasa niende kwenye maelekezo juu ya namna ya kuinstall;
  1. Utadownload kama kawaida kupitia link nitakayotoa hapo chini, mwisho kabisa
  2. Ndani ya folder hilo utakuta vitu viwili/setup na notepad iliyobeba key za kuactivatia software yetu
  3. Install kwanza software na ikikuomba password wakati tu unataka kuinstall, tumia “Tuma meseji kwenye namba 0716824009 kuomba password” bila alama za fungua na funga semi
  4. Endelea na installation mpaka umalize, kisha ifungue hiyo software na angalia upande wa juu kulia utaona kuna sehemu imeandikwa ‘Register”
  5. Basi bonyeza hiyo sehemu, utaona kijisehemu kingine kidogo kimetokea kinaomba ujaze vitu viwili, Registration name na Registration code
  6. Utavitoa wapi? ni kule kwenye ile folder ulilodownload ukakuta software na notepad, sasa fungua notepad, ikikuomba password basi tumia “tuma meseji kwenye 0716824009 kupata password” bila alama za funga na fungua semi
  7. Ikifunguka utaona mistari miwili ya maandishi na namba, mstari ya juu ni registration name, hivyo copy na ukapaste kule ulikoombwa registration name/kwenye software yetu tuliyoinstall, na mstali wa pili hapo kwenye notepad ni registration code, nazo zicopy ukazipate upande wa registaration code hukohuko kwenye software tuliyoinstall
  8. Baada ya hapo, sasa bofya sehemu imeandikwa “ok” na itakwambia “Registration is successful…”
  9. Hakikisha sehemu iliyokuwa imeandikwa “Register” inakuwa “Registered” baada ya kujaza mahitaji hayo
Hapo sasa uko salama na huru kutumia.
Maelezo kwa ufupi juu ya namana ya kuitumia
Kama ulivyoona mwanzo wakati ulipofungua softwre hii, kuna option nne zilitokea
– Recover deleted files (rudisha mafaili yaliyofutwa)
– Recover formated Drive (rudisha mafaili yaliyoformatiwa)
– Recover Missing Drives (rudisha sehemu za kuhifadhia data ambazo hazionekani)
– Full scan and recovery (fudisha data zote kwa ujumla na kwa kuscan kwa kina)
  1. Angalia vizuri hapo, ukitembeza cursor na kuclick au mishale ya kupanda na kushuka kwenye keyboard utaona kuna box la blue linatembea kuonyesha option ipi unataka kuchagua
  2. Kisha ukishachagua option uitakayo kulingana na uhitaji wako basi angalia upande wa kulia juu mwa software hiyo utaona sehemu imeandikwa “next”, ibonyeze
  3. Hapa itakuja list ya partition za computer yako pamoja na ulichochomeka ktk computer iwe ni memory card, flashi au external hard disk, hivyo kama ulikuwa haujakichomeka basi kiweke utakiona kinatokea hapo kwenye list
  4. Ukiviona vyote unavyovihitaji kuvirudishia data zako basi kwanza relax na elewa hiki kitu kidogo, Kwa option ya kwanza na ya pili baada ya kuzichagua na kubonyeza next huwa zinakuja na kibox kimeandikwa “fast scan” sio kizuri kutumia sababu kinasababisha software ifanye kazi juujuu bila kuscan kiundani hivyo usipige tiki ktk hicho kibox cha fats scan
  5. Sasa basi chagua mzigo unaotaka kuufanyia kazi na kisha bonyeza “next” /kulia juu mwa software
  6. Software itakupeleka sehemu nyingine na kulist mafaili amabayo yamepotea
  7. Kazi kwako kupiga tiki mafaili unayohitaji yarudishwe
  8. Baada ya hapo angalia kulia juu na bofya sehemu imeandikwa “recover”
  9. Subiri kidogo, hapa itafanya zoezi la kwanza la kukagua kitunzio cha data ulichochagua, kisha ikimaliza itakuletea option inayokuuliza wapi unataka kusave mafaili yako baada ya kurudishwa
  10. Hapa kuwa makini sana, kwa maana hii, chagua sehemu tofauti kabisa utakaposave mafaili yako, yaani iwe tofauti na unayoifanyia kazi, kwa mfano unarudisha data zilizopotea kwenye flash basi baada ya kuzirudisha zisave kwenye Computer na SIO kwenye flash hiyohiyo
  11. Na kama ni kwenye Computer basi ikiwa unarudisha kwenye Local disk “D”, unapaswa kusave location nyingine tofauti na local disk “D”
  12. Baada ya kuchagua unakotaka kusave bonyeza “OK”
  13. Software itaingia kwenye zoezi la pili na itaandika “exporting recovered data” wakati zoezi hili likiendelea utaona mistari miwili kama supercopy ambavyo huwa inacopy vitu
Subiri mpaka imalize kisha, funga software yetu na nenda kafungue ulikochagua kusave mafaili yako, utakuta kila kitu.
Download software hii kwa kubonyeza link hii hapa chini;

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.