Header Ads

ON AIR WITH MILLARDAYO Vera alipopita kwenye studio ya Millard Ayo, aeleza beef yake na Huddah…

Vera Sidika ni mrembo kutokea Kenya ambae umaarufu wake aliupata baada ya kuonekana kwenye video ya P Unit iitwayo You guy kipindi hicho akijihusisha kwenye masuala ya u model, sasa August 12, 2016 mrembo huyo alipita kwenye studio za Millard Ayo Dar es salaam na kufanya interview hii Part 1 akiongelea beef yake na Huddah.

ULIIKOSA HII YA SAUTI SOL KUHUSU RAIS MAGUFULI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.