Header Ads

PICHA 6: Paul Pogba alivyowasili Man United na mama yake.

Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Juventus ya ItaliaPaul Pogba August 8 2016 aliwasili katika klabu ya Man United kwa ajili ya kukamilisha usajili wake utakaoweka rekodi ya dunia, Pogba amewasili katika uwanja wa mazoezi waMan United.
36FFE48300000578-3729304-image-a-62_1470656183575
Pogba amewasili katika uwanja wa AON unaotumiwa na Man United kwa ajili ya mazoezi akiwa katika gari nyekundu aina ya Chevrolet Camaro akiwa sambamba na mlinzi waMan United, Pogba amewasili katika uwanja wa AON kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya na kukamilisha usajili wake.
36FFCD2900000578-3729304-Pogba_was_driven_to_United_s_training_complex_before_early_on_Mo-a-49_1470655935959
Kiungo huyo ambaye aliondoka Man United mwaka 2012 kwa ofa ya pound 800,00 anatajwa kuwa atasaini mkatab wa miaka mitano wa kuitumikia Man United kwa ada ya usajili ya rekodi ya dunia ya pound milioni 110, mkataba na Man United utamuwezesha kuingiza mshahara wa pound 290,000 kwa wiki.
36FFE47400000578-3729304-image-a-52_1470656080159
3702EC6D00000578-3729304-image-a-2_1470678523648
37000DBE00000578-3729304-image-a-85_1470658464904
Yeo Moriba mama mzazi wa Paul Pogba alivyowasili katika uwanja wa mazoezi wa Man United
ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0 

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.