CHEZO AUDIO: Kauli ya waziri Kigwangalla kuhusu MO kuinunua Simba SC.
Najua headlines za bilionea wa 21 Afrika kutaka kununua asilimia 51 ya hisa za Simbakwa Tsh bilioni 20 kama mfumo ukibadilika Mohammed Dewji imekuwa topic kubwa, kila mtu ana mtazamo wake kuhusiana na suala hilo, Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamisi Kigwangalla ana mtazamo kuhusiana na suala hilo.
“Kuhusu mabadiliko mimi naunga mkono japokuwa watu huwa wanaogopa vitu vipya ila mimi sishituliwi na suala hili jipya, kuhusu mpango wa Simba kuuza hisa naunga mkono lakini asiuziwe mtu mmoja hisa nyingi, kama MO ambaye ameonesha nia ya moja kwa moja auziwe hisa ila sio zaidi ya asilimia 50”
ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0
Post a Comment