Header Ads

MIX Soko linalounganisha nchi mbili za Africa na wanazungumza lugha sita sokoni hapo

Soko hili hufunguliwa siku ya alhamisi ambapo wafanyabiashara wadogo hupanga bidhaa mbalimbli kwa ajili ya kuuza, lipo Okavu kaskazini mashariki ya Uganda kwenye barabara ambayo upande mmoja ni Uganda na upande mwingine ni nchi ya Congo pia  imeelezwa kuwa eneo hili la soko kuna lugha sita zinazozungumzwa kutokana na kwamba lipo kwenye mpaka wa nchi hizo mbili.
sokoko
Soko hilo limepewa jina la Kampala-Kinshasa Market kutokana na waganda pamoja na wacongo kufanya biashara pamoja katika soko hilo.
soko

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.