Header Ads

MIX Matokeo rasmi ya uchaguzi Zambia yatangazwa

Leo August 15 2016 Tume ya uchaguzi nchini Zambia imemtangaza aliyekuwa rais waZambia, Edgar Lungu  kuwa mshindi wa nafasi ya urais kwa tiketi ya chama chaPatriotic Front kwa awamu ya pili.
Lungu alijipatia asilimia 50.35 ambazo ni kura 1, 860, 877 na Kumshinda mpinzani wakeHakande Hichilema wa chama cha United Party  for National Development ambaye amepata asilimia 47.67  ambazo ni kura 1, 760, 347 
Imeelezwa kuwa awali chama chake cha UNDP kilijiondoa katika shughuli ya uhakiki kura akidai kuwa kulikuwa na udanganyifu.



Rais wa Zambia Edgar Lungu ametangazwa mshindi matokeo ya uchaguzi wa urais kulingana na matokeo rasmi ya uchaguzi


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.