Header Ads

KIJUWE KILIMO CHA KISASA BILA KUBAHATISHA UDONGO WAKO SASA.

  Wote tunajuwa kuwa kila zao hustawi katika aina fulani ya udaongo sio kweli kuwa kila udongo unakubali mazao yote je vip utajuwa?    Pima udongo wako kwa bei nafuu kujuwa udongo wako una uchachuchachu /tindika kiasi gani [soilph] kisha fanya haya hapa                 1.zalisha zao lenye ph iyo landana na udongo au              2.pandisha ph au shusha ph ili iwe sawasawa na zao lako .Utapandisha kwa kuwekw dolomite agricultural liming kiasi maalumu kutokana na ukubwa wa shamba lako [tutakushauli] kama ni kushusha utaaply sulful kiasi maalumu.                                        Hapa ndipo kila zao litapata virutubisho vyake kama udongo auna ph husika utakosa virutubisho hivyo. mazao yatakuwa chini miaka yote na wanashauli usiweke mbolea kwanza kabla ph je twafanya hivyo?  Angalia list hiii              PH ZA MAZAO BAADHI                                Tomato 5.5_7.5    onion6.0-7.0 watermelon 5.5-6.5 cabbge 6.0-7.5 chinese cabbage 6.0-7.5 cucumber5.5-7.5 rice 5.0-6.5 sorghum 5.5-7.5 soybean 5.5-6.5 spinach6.0-7.5 peanut 5.0-6.0 bean 6.0-7.5 grapefruit6.0-7.5 garlic 6.0-8.0 ginger 5.5-7.0 carrot 6.0-7.5 beetroot 6.0-7.0 lemon 5.0-7.5 srawberry 6.0-7.5 avocado 5.0-6.5 apple 6.0-7.0 grapevine 5.0-6.0 mango 5.0-6.0 kwa sas huduma ya soil ph pamoja na kupimiwa kiasi cha nitrogen,phosphorus na potashi [NPK] ili tuweze kukushauli ni kiasi gani ca virutubisho pia vimepungua na ufanye nini ilikuweza kurudisha

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.