Header Ads

Idris Sultan kajiondoka kwenye mtandao wa instagram dakika chache zilizopita…

Kama utakuwa unakumbuka mwaka 2015 msanii kutoka kwenye tasnia ya Bongo Movie, Elizabeth Michael aliingia kwenye headlines za kujiondoka kwenye mtandao wa instagram kutokana na matatizo yake binafasi.
Sasa leo August 17 2016 Idris Sultan anazimiliki headlines mitandaoni baada ya kuchukua maamuzi ya kujindoka kwenye mtandao wa instagram bado haijajulikana tatizo ni nini ila millardayo.com inaendelea kufuatilia kwa kina ili kujua sababu za staa huyo kujiondoa.
idrisa
ULIKOSA KUIONA VIDEO YA IDRIS SULTAN ALIVYOVUNJA WATU KWENYE FUNNY FELLAS? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.