Header Ads

AYOTV VIDEO: Wachezaji wa Azam FC walivyokabidhiwa Ngao yao na Waziri Nchemba

August 17 2016 kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara uwanja wa Taifa Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, katika mchezo huo Azam FC walifanikiwa kuibuka na ushindi wa penati 4-1, hiyo ni baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 2-2, baada ya hapo Azam FC walikabidhiwa Ngao yao ya Hisani na waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba.


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.