Header Ads

BURUDANI AudioMPYA: Mikono ya Lamar kwenye Refix ya Diva ‘Baby boy’ remix….

Inawezekana ulimiss sauti ya mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva The Bawse kwenye uimbaji, sasa basi leo ameachia remix ya single yake ‘Baby Boy’ ambapo ndani ya refix hii amewashirikisha rappers watano akiwemo, Roma, Billnass, Baghdad, Mr Blue na Chemical.
Refix hiyo imetengenezwa na producer Lamar kwenye studio za Fishcrab, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hapa


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.