Header Ads

Bob Junior kayaeleza haya kwa wasanii waliokuwa Sharobaro Record…

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Record, Bob Junior kupitia Ayo TV kayatoa ya moyoni kuhusiana na wasanii waliokuwaga chini ya Sharobaro Records.
Staa huyo aliipata heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea haya>>>Kwanza kabisa sina ubaya na msanii yoyote niliyokuwa nikifanya nao kazi mpaka kesho wakija nitaendelea kufanya nao kazi na kuna baadhi ya kazi zipo tu siku wakiamua watazitoa, na sababu ya kukaa kimya kwa kipindi cha nyuma  nilikuwa nikiboresha kazi zangu kuna vitu vingi vinakuja’Bob Junior
Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video hapa uone alichokiongea Bob Junior


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.