Header Ads

AYOTV VIDEO: Mtazame Ben Pol, Linex na Barnaba walivyopanda kwenye stage moja Dar

Najua kuna watu wangu wa nguvu wao ni damdam milele na muziki wa nyumbani Tanzania, kama neno ni ‘yes’ basi haitokuwa mbaya nikikusogezea muunganiko wa mastaa wanaotokea katika soko la bongo flava hapa nazungumia Ben PolLinex naBarnaba walipopanda katika stage moja kwa nafasi tofauti katika viwanja vya Dar live Dar es salaam kisha kuachia burudani.

ULIIKOSA HII YA AY ALIVYOKUTANA NA WATU WAKE WA MBAGALA

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.