Header Ads

AUDIO: Kubenea ahojiwa na polisi leo, wakili wake Lissu kayazungumza haya

Leo August 15 2016 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea ameitwa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kwa ajili kuhojiwa kuhusiana na makala aliyoiandika ambayo inadaiwa ni ya kichochezi.
millardayo.com na Ayo TV imempata wakili wa Saed Kubenea, Tundu Lissu ambapo amethibitisha kuhojiwa kwa Saed Kubenea na amesema yuko nje kwa dhamana ……….
>>>’aliitwa kwenda kuhojiwa kuhusiana na makala aliyoiandika juu ya hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu Zanzibar, makala ya kama wiki 3 zilizopita, kwa mujibu wa jeshi la polisi makala hiyo ni ya kichochezi’
Bonyeza play kusikiliza alichozungumza wakili wake Tundu Lissu


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.