AudioMPYA: Nandy ametuletea remix ya single ‘Nagusagusa’ akiwa na Mr Blue
Msanii wa kike aliwahi kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Tecno Own Tha Stage na kuibuka kuwa mshindi wa pili leo ametuletea hii remix ya single yake iitwayoNagusagusa akiwa amemshirikisha Mr Blue.
Unaweza ukabonyeza HAPA kuusikilia wimbo huo mpya wa Nandy.
Post a Comment