AJALI VIDEO: Ajali ya gari ndogo na lori iliyotokea kati ya mataa ya Mlimani City na TCRA
Usiku wa August 19 maeneo ya mataa yaliyopo kati ya Mlimani City na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitokea ajali ya gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na Lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta kilichopo jirani na mataa hayo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye mwili wake haukuwa umeweza kuokolewa kutokana na kubanwa,millardayo.com bado inafuatilia kwa kina taarifa kutoka jeshi la polisi.
Post a Comment