Siku ya Wanawake Duniani. Ujumbe kwa wanawake wa shoka wanaojitambua.
Tunatambua umuhimu wa kina mama zetu , uwepo wao ni wathamani zaidi katika maisha yetu ya hapa dunian, tuwaheshimu wakina mama wote na kuwapenda kwakuwa jukumu lao ni kubwa sana hapa Duniani.
Tuwaombee wale kina mama waliopotoka na kuwa na roho za kikatili kwakuwa yamkin sio kwa kupenda kwao Ila ni kwa sababu ya ugumu wa maisha wanayopitia kila siku.
Mungu awaangazie mwanga wa milele na awape pumziko la Amani kina mama wote waliotangulia mbele za haki, hakika hatuta wasahau daima kwan bado walikuwa na mchango mkubwa sana katika familia na jamii yetu.
✳ ELIMU YA UJASIRIA MALI ndo habar ya mjin kwa kina mama ✳
Ewe mwanamke shtuka , Amka acha kuwa tegemezi au golikipa, kuwa mwanamke wa maendeleo chanya, changamkia fursa .
Nawatakia siku njema kwenu kina mama wote, siku ya leo jifunze kitu kipya kitakacho kusaidia na pia endelea kujifunza zaidi ili uweze kuokoa familia yako na jamii yako..
Post a Comment