Header Ads

.JINSI YA KUROOT SIMU NA FAIDA ZAKE..


                 Najua wewe unaesoma habari hii umesha wai kusikia neno ROOT au kuona kutoka sehemu tofauti tofauti kama kwenye mitandao na pengine umekuwa ukijiuliza maswali kama kuna umuhimu au faida gani za kuroot simu ya android. Kabla sijaenda mbali naomba nielezee nini maana ROOT.
:Kuroot simu maana yake ni kumuezesha au kumpa mamlaka yote mtuamiaji wa simu ya android kwa kuongeza au kupunguza au kurekebisha mfumo mzima wa android software. Pengine hapo utakuwa unajiuliza mbona mimi naweza kutoa au kuongeza apps au kubadilisha settings za simu yangu bila hata kuroot simu???
Jibu ni kwamba uki root simu yako ya android utaweza kufanya mambo mengi sana kwenye simu yako na kuifanya simu yako iwe kama wewe unavyo taka. Mfano, unapo nunua simu yako dukani ikiwa mpya kabisa na baada ya kuiwasha utagundua tayari kuna apps zimekwa kwenye simu na unapo jaribu kuzitoa huwa hazitoki hata ufanyaje. Kwa mfano (chatOn, S voice, S Planner,sex). Hata hapo ukienda kwenye menu ya simu yako utaona Apps Ambazo Ujaziweka hila zipo na hazifutiki.FAIDA NA JINSI YA KUROOT.
FAIDA.
1:Utaweza kuondoa Apps zote ulizozikuta kwenye simu.(Husizo zitumia na zinachukua nafasi kwenye simu yako).
2:Utaweza kubadisha mfumo wa simu kama maandishi na menu ya simu.(Kwa kutumia Apps nyingi2 kama ifont).
3:Kuipa simu yako ulinzi imara.(hapa ninamaana atakama simu yako imekuwa affected na VIRUS unaweza kuwaondoa kiuwepesi kwa kuroot simu yako).
4:Unaweza kuifanya simu yako kudownload Apps amabazo mwanzo ulikuwa auwezi kuzichukua.(Pia unaweza ukahack App za kununua but zikufundishi ukaibe app za kununua NO).
5:pia itaiongezea usanifu zaiid kwenyei smartphone yako katika ufanyaji kazi na kuweza kouongeza utunzaji wa charge kwa muda mrefu.
6:unaweza kuongeza android version baada ya kuroot simu yako.
Zipo Faida nyingi sana Ambazo unaweza kuzipata baada ya kuroot simu yako Zingine utaziona mwenyewe baada ya kuroot simu yako.
JINSI YA KUROOT.
Zipo App nyinyi zinazotumika Kuroot simu za Android hila nzuri na Bora bila kuchagua simu na unaweza kutumia bila Computer hii hapa fata maelekezo.
1:Nenda kwenye browser yako yoyote itakayo kufikisha kwenye google kisha Search KINGO ROOT na uidownload hiyo App Aifiki MB3.
2:Hakikisha una MB zisizo pungua 10 baada ya kuidownload.
3:Install App hiyo baada ya hapo utaifungua na utaclick kwenye one click root.hapa rooting process itaanza mpaka utakapo ona ROOT SUCCESSFUL....

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.