BUSINESS AND ECONOMIC TOUR
*Watu wengi hatujui kitu kuhusu mahali tulipo na ndio mana tuna hofu na tunako kwenda*
*_Ukiona unatatizo jua wewe ni chanzo cha tatizo hilo_*
*_Mafanikio yapo, kwa watu walio watafiti na wenye nia ya kutaka kujua mbinu za kufanikiwa_*
Kwanini unahofu kuhusu kesho yako, jibu ni jepesi tu hujui ufanye nini leo, na mahali ulipo.
👇👇👇👇
Kiukweli kuwa na matumaini ya kesho iliyo bora huku tukiwa hatuna tunachokifanya Leo kimsingi ni kujidanganya.
Kama Leo umeahindwa kuanza na biashara ya mtaji wa elfu 50, alafu una ndoto za kuwa mfanyabuashara mkubwa, ambae anasubiri apate mtaji mkubwa huko ni kujiongopea.
👆👆👆
Hivi unajua watu waliofanikiwa ni wale waliojiamini kwenye kile kidogo walicho nacho. Hakuna alieanikiwa kwa kusubiri. Kijana acha kujidanganya anza na hicho kidogo, aibu na mashauzi mbele za watu havitakusaidia kitu.
Hivi unajua, maisha yanataka watu makini, watu wenye uso wa mbuzi vijana wa mjini wanasema, siyo ukae kilegelege halafu utegemee mafanikio, hizo ni ndoto za mchana.
_*Hakuna mafanikio yanayo ambatana na uvivu,aibu, na kuchagua kazi*_
Kwanini upoteze muda kusubiri kazi usiyojua inakuja lini au utapata lini, anza leo nenda karume, nunua mitumba uza, anzisha bustani ya mboga mboga tafuta cha kufanya kwa nguvu zote.
Maamuzi ni yako, kukaa bure au kuanza kufanya chochote kwasababu huwezi kujua kitakufikisha wapi.
Ahsante kama umepata cha kujifunza.
Nb.
*_Fursa ya kujifunza Kilimo na ufugaji SUA, ni tarehe 17/12/2016 njoo upate maarifa sahihi kwa watu sahihi_*
Tiketi zimeanza kuuzwa Vituo vya mauzo ni Gongo la mboto, Wakazi Barber Shop na Kona ya Mabibo Shua Media.
Wale wa mikoani wanalipa nusu gharama.
🙏🙏🙏🙏
Facebook: *Amka Jitambue*
Instagram: *Amka_Jitambue*
Youtube : *Amka Jitambue*
+255 653 206 053

Post a Comment