Tigo Digital Change Makers kutoa $20,000 kwa wenye miradi pevu.
Kuna tatizo katika jamii yako ambalo umeanza kulitatua kwa kutumia TEHAMA?
Unaweza kushinda dola 20,000/- za #TigoDigitalChangeMakers . Kwa maelezo zaidi bofya hii link: https://tigo.co.tz/sw/digitalchangemakers

Post a Comment