Header Ads

NJIA AMBAZO MUNGU ANAZITUMIA KUJIWASILISHA/KUONGEA NA WANADAMU

Bwana Yesu asifiwe! napenda nishirikiane na nyie asubuhi ya leo juu ya njia ambazo Mungu anaweza kuzitumia kuongea na wanadamu.
Mungu ana njia nyingi ambazo anazitumia kuongea na watu wake/wanadamu, na hizi ni baadhi tu ya hizo njia ambazo Mungu anazitumia. Mungu anaweza kutumia

  1. Ndoto.  Mwanzo 37:5-8
  2. Maono.  Matendo 10:3-4
  3. Manabii.  Matendo 21:10-14
  4. Roho Mtakatifu. Matendo 8:29
  5. Neno lake.  2Timotheo 3:15-17 
Asanteni. Nawatakia jumapili njema na Mungu awabariki

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.