JENGO MAALUM LENYE JINA LA MWALIMU NYERERE LAFUNGULIWA NA RAIS WA UJERUMANI HUKO ETHOPIA LIVE!!
| Bi Merkel amezuru nchi kadha za Afrika zikiwemo Mali na Niger. Hapa anaonekana na Rais Mahamadou Issoufou wa Niger. |
Alishiriki sana katika jitihada za kuendeleza bara la Afrika na kusaidia mataifa ambayo hayakuwa yamepata uhuru kujipatia uhuru wake. Mwalimu Nyerere alipigania sana kumalizwa kwa ubabe wa Wazungu katika nchi za Rhodesia (sasa Zimbabwe), Afrika Kusini, na taifa la Kusini Magharibi mwa Afrika/Namibia (sasa Namibia).

Post a Comment