Header Ads

JE UNATAKA KUISHI MIAKA MINGI?

Methali 10:27 "Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa."

Methali 4:10 "Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi."

Methali 3:1-2 "Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu. Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani."
Nakutakia Asubuhi njema na Jumapili njema.
NOTE: Usisahau kwenda kanisani, na ibada njema huanzia nyumbani

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.