HABARI PICHA:MAHAFALI YA KUMI NA TATU(13) YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA MT.PIO ILIOPO KIBAIGWA-DODOMA
HABARI Na:Godfrey Mtega
MAHAFALI ILIYOFANYIKA TAR:21/10/2016
Shule ya Sekondari ya Mt.Pio
Wazazi na walezi wa wahitimu shule ya Mt.Pio
Wahitimu wa kitato cha nne (2016) katika shule ya sekondari ya Mt.Pio
Mkuu wa shule ya Mt.Pio(Bwana Deogratius Salawi),Akisoma Risala.
Mgeni Rasmi Spika wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa jimbo la Kongwa(Mh.Jobu Ndugai)(Kushoto) na Mkurugenzi wa shule ya Mt.Pio(Kulia)
Wahitimu wakisikiliza neno kutoka kwa mkurugenzi wa shule
Wanafunzi (scout) wakionesha umahiri wao.kwenye kamba
Wanafunzi wakionesha ubunifu mbalimbali
Post a Comment