BREAKING NEWS:MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016 YATANGAZWA
Serikali
imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016
ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza
kitaifa ni shule ya Msingi Kwema ya mkoani Shinyanga
Post a Comment