Serikali imesema leo hii jumanne october 18, itaweka wazi orodha ya pili ya majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo ya elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2016/2017.
Post a Comment