BAADA YA USHINDI WA AFRIMMA 2016, MH PAUL MAKONDA AMPA JUKUMU HILI HARMONIZE

kufuatia ushindi mnono alio utwaa Harmonize kama msanii anaeibukia Afrika, umeonesha Kupongezwa kwa kasi kubwa zaidi.
Naweza
sema kasi hiyo unaweza Sahau kama Tuna tuzo nyingine Tanzania Kama Tuzo
ya DJ bora Afrika aliyo ichukua Dj D ommy na Msanii bora wa Kiume
Afrika Mashariki Diamond Platnumz.
Heshima
aliyo pata Harmonize nikubwa Sana Kiasi Cha Diamond Badala ya kushiriki
furaha ya Tuzo yake katika kurasa yake ya Instagram Kaamua kuonesha
Mahaba makubwa Juu ya ushindi wa Harmonize.
Upande wa Pili Msanii bora wakike Afrika Mashariki wa tuzo hizo Akothee nae kazimwaga heshima kwa kijana huyo.

I
remember last year you came to receive me at the airport when I was
coming from @afrimma awards with my trophies…and you asked me “do you
think one day I will even be nominated on any international Awards” then
I told you “If you work hard, Praying hard, Believe in God, respecting
everybody then God will make a way…. and today we are here celebrating
Your BEST NEW COMER AFRICA Winning

congrats @harmonize_tz and thanks a lot to our beloved fans and @Afrimma for keep supporting African talents…
(Hii picha inanikumbusha mwaka jana ulipokuja nipokea airport kutokea
@afrimma.. ukaniuliza “hivi ipo siku nami nitachaguliwa tunzo yoyote ya
kimataifa”….nikakwambia “Ukifanya kazi kwa bidii, Ukimuheshimu kila mtu,
ukamuamini na kumuomba Mwenyez Mungu basi Mollah atakufungulia ndoto
zako….na leo hii kweli Tunafurahia Ushaindi wako wa Msanii Bora Chipkizi
Africa….. Hongera sana @harmonize_tz na shukran sana sana kwa Mashabiki
zetu pendwa kwa kura na @ Afrimma kwa kuendelea kuvinyanyua vipaji vya
Africa
)Picha limekuwa Tamu zaidi Baada ya Pongezi za Mkuu wa mkoa wa Dar es
salaam zilizo ambatana na kumpa jukumu la kuzidi kuwajibika kwa heshima
ya Dar es salaam na Tanzania kiujumla Mh paul makonda
ameandika..‘Pongezi Zangu Hizi Zichukulie Ni Changamoto Yakukufanya
Uzidi Kupeperusha Bendera Yetu Ya Tanzania Pamoja Na Kuupa Ufahari Zaidi
Mkoa Wetu Wa Dar Es Salaaam..!! amesisitiza Mh Paul makonda.
‘Nachukua
Fursa Hii Kukupongeza Kijana Wangu Kwa Kuweza Kufanikiwa Kuchukua Tuzo
Kubwa Za Afrimma Ni Faraja Kwa Mkoa Wangu Wa Dar Es Salaam Pia Ni Faraja
Kubwa Zaidi Kwa Nchi Yetu Ya Tanzania Mungu Akuongoze Zaidi Na Zaidi
Lakini Pongezi Zangu Hizi Zichukulie Ni Changamoto Yakukufanya Uzidi
Kupeperusha Bendera Yetu Ya Tanzania Pamoja Na Kuupa Ufahari Zaidi Mkoa
Wetu Wa Dar Es Salaaam..!! Hongera Sana @harmonize_tz
Post a Comment