Faida za kufanya na Hasara za kutokufanya usafi ktk Computer Yako
Kwanza kabisa ninaomba kuanza
kwa utagulizi kama ifuatavyo, tunapo zungumzia usafi ktk Computer
tunamaanisha usafi wa aina mbili;
- Usafi wa ndani ya Mafaili na Software za Computer (Software and File checkup and maintenance)
- Usafi wa vifaa vyote vya ndani na nje ya Computer (Hardware checkup and maintenance)
- Kuongeza urefu wa maisha ya Computer yako
- Kuongeza umahiri wa Computer yako ktk utendaji kazi
- Kupunguza gharama za ununuaji vifaa vilivyoharibika kwa kupuuza kufanya usafi
- Kuepusha Computer kuzimika ghafla kwa kuzidiwa na uchafu au wadudu
- Kufanya Computer iwe na spidi kama ilivyounuliwa mwanzo
- Inaweza kucrash au kufeli na kuzimika ghafla
- Spidi ndogo ktk utendaji kazi
- Kukosa umahiri ktk utendaji kazi, yaani haitakuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu na itakuwa inachemka na pengine kuzimika baada ya muda mfupi
- Gharama kubwa siku ambayo Computer imeharibika sababu itakuwa imeharibu vifaa vingi
- Utakuwa umeipunguzia urefu wa maisha yake maana haitadumu hata kwa muda wa miaka miwili
Post a Comment