VideoMPYA: Tazama video nyingine ya bongo ambayo Agness Masogange ametokea

Muziki wa bongo umeendelea kutengeneza ajira na mkwanja mrefu zaidi kila siku haswa kwa vijana wengi wa kitanzania , leo nimekusogezea hii video ya msanii wa bongo flava Reggy The Best Ft Kimbunga Mchawi inayoitwa ‘Kampa’ ambapo ndani yake yupo video queen Agness Masogange
Video imefanywa chini ya director Hanscana unaweza kuitazama hapa chini…
Post a Comment