Vichwa 9 vya habari kwenye TV za Tanzania August 8 2016.

Mtu wangu kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya August 8 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama vichwa vya Habari kupitia TV za Tanzania.
Kichwa cha habari kutoka Star TV…Mizani ya Pamba
Karani Wilayani Meatu mbaroni kwa udanganyifu

Kichwa cha habari kutoka Star TV…Miundo Mbinu Duni
Idadi ya watalii yapungua mbuga ya Katavi

Kichwa cha habari kutoka Star TV…Agizo la Kuhama
Machinga Mwanza waomba Serikali kuangalia upya

Kichwa cha habari kutoka ITV…Uchafu wa Mazingira
Badhi ya viwanda vyaendelea kutiririsha maji taka kwenye mito Mkoani Morogoro

Kichwa cha habari kutoka ITV…Maadhimisho ya Nane Nane Arusha
Changamoto kubwa ya wakulima yatajwa kuwa gharama kubwa za zana za kilimo

Kichwa cha habari kutoka ITV…Agizo
Halimashauri zaagizwa kutenga maeneo ya uwekezaji wa viwanda vya kusindikiza mazao

Kichwa cha habari kutoka Azam TWO…Makamba: Nchi Itaachana na Mkaa

Kichwa cha habari kutoka TBC 1…Halmashauri ya Pili ya Iringa Yaaswa Kuweka Kipaumbele Maendeleo kwa Wananchi

Kichwa cha habari kutoka TBC 1….Bei ua Umeme na Gesi, Chanzo cha Wanachi Kutumia Zaidi Mkaa 

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI KUHUSU KUKAMATWA KWA TUNDU LISSU? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI
Post a Comment