KWANINI MADINI YA CALCIUM???????????????????????????
- Calcium,inasaidia sana sana kwenye kujenga na kuimarisha mifupa
- Calcium inakaa kwenye damu,hivyo ukipoteza damu unapoteza na calcium hapo hapo
- Sasa kwa kila mwanamke anaye bleed kila mwezi means anapoteza calcium kila mwezi,hivyo kupunguza kiasi kilichopo mwilini.
- Na kubeba mimba unapoteza zaidi,maana inatumika zaidi kujenga mifupa ya mtoto tumboni.
- Vile vile wakati wa kujifungua dumu inapotea sana ,hii pia hupelekea upotevu wa madini ya Calcium mwilini.
- Ikiwa unanyonyesha mtoto anatumia Calcium pia kutoka kwa maziwa ya mama.
- Kwahiyo mwisho wa siku wana mama wengi wanakua wanaumwa migongo,magoti,na kuonekana wazee kuliko wenza wao.
- Kwahiyo huu ndiyo umuhimu wa kutumia Calcium,na kila mwanamke katika umri wa kuzaa,inashauriwa atumie Calcium Supplements Forever Calcium is the best.
- - 0655246727
- - 0766903672
- - jmbilinyi4@gmail.com
ZAIDI TEMBELEA KURASA ZETU
Instagram:malkia wa bidhaa asilia
Facebook:jema mbilinyi
Instagram:malkia wa bidhaa asilia
Facebook:jema mbilinyi
Post a Comment