Hard Reset iPhone kwa kutumia Home na Power Button
Leo naenda moja kwa moja kukuelekeza njia tatu ambazo mtumiaji wa simu ya iphone au ipad ya apple anaweza kuzitumia ili kurestore/kuresert/kuhard resert kifaa chake.
angalizo: Kabla ya kufanya hatua hizi hakikisha umeback data zako kwenye simu au ipad yako kwani njia hizi husababisha kufutika kwa data zote kwenye simu. hivyo ni vyema kufanya back up ili data zako zisipotee
toa sim card yako na memory card endapo kifaa chako kina sehemu ya memory card japo simu za iphone na ipad huwa hazina sehemu ya sd card
NJIA YA KWANZA
Hard Reset iPhone kwa kutumia Home na Power Button
Hatua; bonyeza home button na powe button kwa pamoja hadi simu yako au ipad yako izime usiachie hadi itakapoanza kuwaka tena. ukioma alama /logo ya APPLE imetokea achia hizo buttan kwani hapo tayari utakuwa umeesha fanya Hard resetNJIA YA PILI
Hard Reset iPhone kwa kutumia Menu ya simu/ipad
Hatua;1 Nenda kwenye Settings > General > Reset and select "Erase All Content and Settings
utatokea ujumbe usemao restore iPhone to factory settings, wewe bonyeza ok kisha fata maelekezo yatakayo fuata. baada ya hapo kifaa chako kita restart na kuwaka tena.
MWAISHO WA NJIA YA PILI
NJIA YA TATU
Hard Reset iPhone from Recovery Mode kwa kutumia software
Njia hii hutumika endapo hujui password za kifaa husika na pia kama button aidha moja katika kifaa chako hazifanyi kazi. kama simu yako button zote ni nzima na zinafanya kazi, na password unaijua basi tumia moja kati ya njia hizo hapo juu achana na hii kwani hii inahitaji muda na umakini wa hali ya juu.ili kutumia njia hii unatakiwa kuwa na
Computer
iOSBoot Genius
itune
HATUA
Install itune na iOSBoot Genius kwenye computer yako
Chomeka kifaa chako (iphone/ipad) kwa kutumia Usb cable
Kisha Run iOSBoot kisha angalia kama simu yako imesoma kwenye computer
utaona ujumbe unaosema your iOs device is now connected
Bonyeza Enter iPhone recovery mode
itune itatoa ujumbe usemao iPhone is in recovery mode and you must restore it before it can be used with iTunes kisha wewe bonyeza OK
Kisha bonyeza "Restore iPhone" ilikurestore kifaa chako kwa kutumia itune
hakikisha itune yako ipo up to date kama bado iupdate kwanza vinginevyo itashindwa kusoma simu yako
Post a Comment