Header Ads

Mtoto wa Rais Magufuli (Jesca) amedisco Chuo Kikuu Dodoma kwa sababu za kimasomo.

Katika hali ile ile ya kuendeleza uchunguzi wa madai ya mtoto wa rais magufuli aliekuwa akisoma chuo kikuu dodoma ndugu Jesca-magufuli habari zilizo tufikia na kudhibitisha na naibu mshauri wa wanafunzi chuo kikuu dodoma kitivo cha sanaa, lugha na sayansi za jamii (college of humanities and social science) ndugu Aziza dilunga ni kuwa mwanafunzi ajulikanae kwa jina la Jesca-magufuli mwenye namba ya usajiliT/UDOM/2014/0675 ameshindwa kuendelea na masomo ya mwaka wa 3 kutokana na kutokufikisha vigezo vya kimasomo.


Dean of student huyo Madam Aziza Dilunga amesema kuwa manafunzi huyo (jesca-magufuli) kupitia mfumo wa kieletronic wa chuo SR (Student Records) imeonyesha mwanafunzi huyo kuwa ana GPA ya 1.6 ambapo ili aweze kufanya mitihani ya supplimentary anatakiwa awe na GPA ya 1.8 hivyo kukosa sifa ya kuendelea na masomo, alisema naibu mshauri wa wanafunzi aziza dilunga.

Hata walipoulizwa wanafunzi wenzake walokuwa wakisoma nae wameieleza JAMIIFORUMS  kuwa kwa sasa hawamuoni na hakuna taarifa yoyote walio nayo rasmi, rafiki yake wa karibu ajulikanae kwa jina la Anna mwishoni alisema hata simu zake kwa sasa hazipatikani na pia hata lile gari aina ya V8 lililokuwa likimleta chuoni kwa sasa halionekani tena na kusema kwa sasa hayupo chuoni kabisa.

Chanzo: mahenga blog

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.