Header Ads

FAHAMU JINSI YA KU UNLOCK I PHONE 4/4S/5/6/6S BILA YA KUTUMIA NENO SIRI HASA UKIWA UMESAHAU.

 Na WILLIAM LEMBILE.
  Kuna njia ,mbalimbali za ku reset (factory reset) kurudisha mfumo wa awali  wa simu ambazo mara nying huomba kuwekwa kwa neno siri (password) ili ianze upya kwa mifumo ya kama ulivoinunua.
     Kuna wengine wakisahau password hulazimu kufrash cmu na kugharimia pesa nying kitu ambacho  unaweza kukifanya wewe binafsi bila shida yoyote.
     
   Hizi hapa ni hatua za kupitia ku reset i phone bila kutumia password ya i cloud.
kwa kutumia mfano wa iphone 4S unaweza kufuata hatua zifuatazo.
 1. Hakikisha una futa i cloud account kwa kuingia menu ya setting.
 2.Nenda icloud fungua halafu  nenda kipengele cha find my phone jarib kuweka off .
 3.Wakati umeishikilia off usiachie na bonyeza  au touch kwenye  delete my account.
4. ukiwa umeshikila sehemu zote mbili anza achia halafu ztakuja notification za kudelete account kubali huku ukizima find my phone off. then futa alama za nyota zilizopo kwenye i cloud account ibaki tupu izime na uiwashe utakuta icloud account imefutika hapo utakuwa huru ku reset factory bila ya kuhitajika password ya aina yoyote.

kwa video unaweza pata kwa ku search "delete i cloud without password".

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.