WATANZANIA WA MASSACHUSETTS NA MIJI YA JIRANI WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAZISHI YA MARAHEMU KHADIJA YALIYOFANYIKA BOSTON SIKU YA JUMAPILI.
Marehemu Khadija Juma wa kati wa uhai wake.
Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi Rajiun
Allahuma ghfirlaha wa rahamha wa Maskana filjanna, Mungu awape familia yake subra na stahamala.
Watanzania
wakishuudia kuifadhiwa mwili wa mpendwa wao Khadija kwenye nyumba ya
milele kwenye makaburi ya Baker Street Roxbury. MA
Kwa picha zaidi nenda kwenye soma more
Rais wa DMV bwana Iddi akipata ukodak na wa Tanzania wengine kutoka New York na Massachusetts.
Post a Comment