U HEARD: Video ya Larua yamtibua mpenzi wa zamani wa Malaika
September 14 2016 kupitia U Heard ya Soudy Brown, nakukutanisha na hii ya msanii wa Bongo Flava anayefanya vizuri na wimbo wake “Larua” Malaika
ambapo ameingia kwenye mzozo na aliyekua mpenzi wake anayejulikana kwa
jina la Eddy, baada ya muongozaji wa Video Hanscana kuiachia Video ya
Larua wakati makubaliano ilikua isitoke. kama hukupata nafasi ya
kuisikiliza usijali, millardayo.com imekurekodia.
Post a Comment