JINSI YA KUONDOA PATTERN AU PASSWORD KWENYE SIMU BILA KUFLASH
Wanakwetu habari, leo nimeona nishare nanyi somo hili dogo, hii ni
kutokana na maswali mengi ninayopokea kutoka kwa wanakwetu wanaofatilia
masomo yangu kwenye blog yangu, , pia mtegachemit.blogspot.com kama wewe
unaaswali lolote niitumie kwa emil yangu godfreymtega@gmail.com nami
ntayajibu kadiri ninavyoweza, lengo ni kuelimishana kuongeza maarifa
kwenye technology.
Kabla ya kuanza somo hili niseme mambo mawili.
1. Tembelea blog yanguwww.mtegachemit.blogspot.com ili uweze kupata masomo mbalimbali ya computer na simu kwa njia ya video au maelezo, pia tembelea youtube channel yangu ili uweze kujifunza mambo mbalimbali ya computer kwa njia ya video, ingia youtube.com na usearch MTEGA TV masomo haya yote ni bure kabisa
2.Kama unataka kujifunza mambo ya computer kwa undani jiunge na darasa ninalofundisha online(MTEGA ONLINE CLASS),Nafundisha kwa njia ya whatsApp.Nitumie text WhatsApp namba 0758297744
• Jinsi ya kutengeneza blog
• Ujasiriamali
Kwa unaehitaji kujiunga nicheki kwa email godfreymtega@gmail.com,WhatsApp 0758297744
Tuendelee……..
Watu wengi wamekuwa wakipata tatizo la kusahau password au pattern kwenye simu zao, wengi huzani kwamba njia pekee ya kuiondoa hii ni kuflash simu, leo nitakwenda kufundisha njia rahis ya kuziondoa password bila kuiflash au bila software yoyote. Kwenye somo la leo nitatumia simu aina 4, ila hata kwenye simu nyingine njia hizi hutumika, nitatumia TECNO,HUAWEI,VODAFONE, na SAMSUNG.
Zifatazo ni hatua za kufata, fuata hatua hizi kwa umakini na utafanikiwa bila shida
1. Zima simu yako toa betri na ulirudishe,
2. a) Kama unatumia HUAWEI,VODAFONE AU TECNO bonyeza batani ya kuongezea sauti na ya kuwashia kwa pamoja kwa sekunde 15, kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu.
b)kama unatumia Samsung bonyeza batani ya kuwashia, kuongezea sauti na home button kwa sekunde 15, kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu.
3. Tumia batani ya kupunguzia sauti na ushuke mpaka kwenye wipe data/factory reset
4. Bonyeza batani ya kuwashia kisha tumia batani ya kupunguzia sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuwashia. (kwa baadhi ya sim za tecno na Sony Bonyeza batani ya kuongezea sauti kisha tumia batani ya kupunguzia sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuongezea sauti)
5. Iache kwa muda kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia kisha iache izime na iwake( kwa baadhi ya sim zitakuomba ukubali kufuta bonyeza batani ya kuwashia kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia kisha iache izime na iwake) kwa kesi ya baadhi ya simu utatumia batan ya kuongezea sauti badala ya batan ya kuwashia.
6. Hapo utakuwa umefanikiwa kuondoa pattern au password kwenye simu yako

>>>>>>MWISHO<<<<<
IMEANDALIWA NA godfreymtega@2016
godfreymtega@gmail.com
SMART PEOPLE
Tafadhari share kama ilivyo.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION YA MTEGA BLOG KWENYE SIMU YAKO ILI KUPATA HABARI ZETU KWA HARAKA

Post a Comment