AUDIO: Taarifa ya tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba leo sept 10 2016
Taarifa
nilizozipokea kutokea bukoba ni kwamba kuna tetemeko limetokea majira
ya saa tisa alasiri, mmoja wa shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mwandishi
wa habari wa radio Kasibante ya Bukoba amethibisha kutokea kwa tukio
hilo.

Eneo la ardhi linalodaiwa kuathiriwa na tetemeko
>>>’maeneo ambayo
yameathirika ni yale ambayo yako kwenye milima, hata watu ambao
wamejenga nyumba ambazo siyo imara zipo ambazo zimebomoka na ambazo
zimepata ufa‘:-Shuhuda
Post a Comment