VIDEO: Yakufahamu baada ya Tiffah wa Diamond Platnumz kutimiza mwaka mmoja.
August 6 2016 ni siku aliyozaliwa mtoto wa staa wa bongoflevani Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz na mzazi mwenza Zari the Boss Lady kwa mtoto wao LatiffahNaseeb akijulikana kama Princess Tiffah.
Katika historia fupi ya mtoto Tiffah tangu azaliwe August 6 2015 mambo mengi yalijitokeza mpaka mtoto huyu kutimiza mwaka mmoja na leo August 8 2016 millardayo.com na Ayo Tv inakusogezea mambo yakufahamu baada ya mtoto Tiffah kutimiza mwaka mmoja ambapo moja wapo kuwa ni uvumi kuwa Tiffah sio mtoto wa staa huyo.
VIDEO----- https://youtu.be/-Rj3V2nfZww
Post a Comment