Header Ads

VIDEO: Original Komedi walivyoingia ukumbini kwenye Harusi ya Masanja….

Ni August 14, 2016 ambapo mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Msanja Mkandamizaji aliziandika headlines baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Monica katika kanisa la Mito ya Baraka Dar es Salaam.
Miongoni mwa walitoa burudani kwenye sherehe hiyo wakiwemo wachekeshaji wenzake kutoka kundi la Original Komedi, tazama video uone jinsi walivyoingia ukumbini.

ULIIKOSA YALIYOJIRI KWENYE HARUSI YA MCHEKESHAJI MASANJA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.