Header Ads

VIDEO: Magoli na penati za mechi ya Yanga vs Azam FC August 17, Full Time 2(1-4)2

August 17 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans na mshindi wa pili wa Ligi Kuu Azam FC hiyo ikiwa ishara ya kukaribia kuanza kwa msimu mpya wa Ligi, mchezo ulimalizika kwa Azam FC kuibuka na ushindi wa penati 4-2, hiyo ni baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2-2.

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.