Header Ads

VIDEO: Jambo lingine la kufahamu kuhusu Rapper Fid Q

Najua umekuwa ukimfahamu msanii wa longtime kwenye game ya hiphop nchini TanzaniaRapper Fid Q ambaye pia licha ya kuwa mwanamuziki huwenda ukawa hujui kuwa anakipaji kingine mbali na muziki wake kingine cha kufahamu mtu wangu rapper  Fid Q pia ni mwandishi wa script.
Rapper Fid Q ametajwa kuhusika kuandika script ya single mpya ya Christian Bella ‘Nishike‘ ambapo camera za Millardayo.com na AyoTV zilimpata na kufanya nae exclusive interview ambapo aliyazungumza haya >>>Uwandishi wa script ni vitu ambavyo nimeanza siku nyingi nasikitika watu wameanza kugundua siku hizi, ukiachia mbali video ya Christian Bella bado nimefanya video nyingi na nyingine mtaendelea kuziona’ – Fid Q



No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.