VIDEO: Goli la faulo la Messi la zaidi ya mita 20 na assist yake ya tiki-taka dhidi ya Sampdoria

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona yaHispania Lionel Messi, usiku wa August 10 2016 aliingia kwenye headlines kutokana na uwezo wake aliouonesha katika mchezo dhidi ya Sampdoria.
Katika mchezo huo FC Barcelona walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1 magoli ambayo mawili yalifungwa na Lionel Messi na kutoa assist ya goli moja kwa Luis Suarez, kivutio kikubwa kilichomfanya Lionel Messi aingie kwenye headlines ni kufunga goli la faulo umbali wa mita zaidi ya 20 na kutoa assist ya tiki-taka kwa Suarez.
Post a Comment