Header Ads

VIDEO: Azimio rasmi la Yanga kuhusu habari za Manji kujihudhuru


August 16 2016 ikiwa ni siku moja imepita toka kuenea kwa habari katika mitandao ya kijamii kuwa mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amejiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kwa madai ya kuandamwa na maneno na kujihisi mpweke kwani hakuna mwanachama yoyote wa Yanga aliyeonesha kuwa upande wake. moja kati ya viongozi wa matawi ya Yanga mkoa wa Dar es Salaam anayeiwakilisha kanda ya Temeke Robert Liungu ametaja maazimio waliyofikia kutoka katika mkutano wa dharura.
“Baada ya kusikia kuwa mwenyekiti wetu amekusudia kujihudhuru tulikutana viongozi wa kanda zote za Dar es Salaam na kufanya kikao cha dharura leo, kwanza azimio letu kubwa ni kuomba mzee Akilimali asimamishwe uanachama pili Manji hajajihudhuru bado tunatambua kuwa ni mwenyekiti wetu”

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.