Header Ads

TOP 10 ya makocha wanaolipwa mishahara mikubwa duniani

Najua mtu wangu wa nguvu umezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka tu, lakini leo August 19 2016 naomba nikusogezee TOP 10 ya makocha wanaoongoza kwa kulipwa mshahara mikubwa katika soka, katika list hii namba moja na mbili zimechukuliwa na makocha wanaofundisha vilabu vinavyotolea jiji moja la Manchester.
10. Rafael Benitez – Newcastle United ($5.8 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 12 kwa mwaka)
Rafael-Ben-tez-009-1024x614

9. MAURICIO POCHETTINO – TOTTENHAM HOTSPUR ($7.1 MILLION AMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI 15 KWA MWAKA)

cropped_4595872-1024x773

8. ANTONIO CONTE – CHELSEA ($8.4 MILLION AMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI 18 KWA MWAKA)

Antonio-Conte-Italy-2-1024x661-1024x661

7. LUIS ENRIQUE – BARCELONA ($9 MILLION AAMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI 19 KWA MWAKA)

GettyImages-483664730.0-1024x682

6. JURGEN KLOPP – LIVERPOOL ($9 MILLION AMBAZO NI ZAIDI YA TSH 19 BILIONI KWA MWAKA)

1742679-1024x599

5. ZINEDINE ZIDANE – REAL MADRID ($10 MILLION AMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI 21 KWA MWAKA)

GettyImages-505388062.0-1024x682

4. ARSENE WENGER – ARSENAL ($10.7 MILLION AMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI 37 KWA MWAKA)

Arsene-Wenger-v-Huddersfield-Jan-2011_2557362

3. CARLO ANCELOTTI – BAYERN MUNICH ($11.6 MILLION AMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI 25 KWA MWAKA)

GettyImages-471535370-1024x683

2. JOSE MOURINHO – MANCHESTER UNITED ($17.7 MILLION AMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI  38 KWA MWAKA

jose-mourinho-1024x683

1. PEP GUARDIOLA – MANCHESTER CITY ($19.4 MILLION AAMBAZO NI ZAIDI YA TSH BILIONI 42 KWA MWAKA)

manchester-city-pep-guardiola-1024x576


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.